Kirjojen hintavertailu – 12 903 725 kirjaa ja 27 kauppaa
Kupaa Kama Tai – Thomas Gregory Stewart, kirjan kansikuva

Kupaa Kama Tai – hinnat ja saatavuus

Hadithi ya Imani, Msamaha, na Kupokea Nguvu za Kuvumilia

Kirjafiili on kirjojen hintavertailu. Löydä halvin hinta 27 kirjakaupasta. Hintavertailu koskee ISBN-tunnusta 9781951350345 (pokkari).

Kirjan kuvaus

Kukulia kwenye nyumba isiyokuwa na baba wa kutegemewa na yenye mama anayekunyanyasa kihisia, ilikuwa rahisi kwa Tom Stewart kuingia kwenye mtego wa kundi la watu wabaya. Huku akizoea desturi ya kufuata ushawishi wa wengine na kutaka… Näytä koko kuvaus

Kukulia kwenye nyumba isiyokuwa na baba wa kutegemewa na yenye mama anayekunyanyasa kihisia, ilikuwa rahisi kwa Tom Stewart kuingia kwenye mtego wa kundi la watu wabaya. Huku akizoea desturi ya kufuata ushawishi wa wengine na kutaka uthibitisho kutoka kwa wakubwa wake, Tom alijikuta amenaswa kwenye mwongo wa dhuluma kutoka kwa kiongozi wa kikundi chake cha Maskauti. Kiwewe cha utoto wake kuharibiwa kinamfuata hadi siku za baadaye, ambapo anakumbana na majaribu si haba. Kupitia janga la kiafya, mahusiano yaliyovunjika na kifo cha mtoto wake wa kiume, Tom anashikilia imani yake isiotetereka. Wakati kesi muhimu inapomweka kwenye barabara ndefu ya msamaha na uponyaji, Tom anaanza kuona kusudi la Mungu kwenye uchungu aliokuwa akiupitia. Badala ya kusalia kwenye uchungu, Tom anakabili siku zake za nyuma, akithibitisha kuwa hata katika hali mbaya, Mungu anaweza kugeuza mabaya kuwa mema. Katika kitabu chake cha kumbukumbu ya kuhuzunisha, Tom anawasilisha ujumbe wa tumaini katika mazingira ya madhara yasiyofikirika. Kupaa Kama Tai ni hadithi ya uvumilivu na nguvu ya msamaha, inayotukumbusha kuwa kutokana na neema ya Mungu, kuna uwezekano wa kuinuliwa juu zaidi ya hali zetu za kupondeka. "Katika utoto wake wote, Tom Stewart alikumbana na mwongo mzima wa dhuluma ya kingono kutoka kwa kiongozi wa kikundi chake cha Maskauti Wavulana. Katika kitabu chake dhahiri, Kupaa Kama Tai, anatusimulia siyo tu kisa chake, bali pia anampatia msomaji maarifa ya kutambua ishara za dhuluma na kutoa njia ya uponyaji kupitia imani katika Yesu. Kitabu hiki lazima kisomwe na kila mzazi ili kumsaidia kuwalinda watoto wake na vilevile lazima kisomwe na kila mtu aliyeteseka kama Tom alivyoteseka."- Josh D. McDowell, Mwandishi

Kirjan tiedot

ISBN 9781951350345
Kustantaja Redemption Press
Vuosi 2023
Formaatti pokkari
Sivuja 168
Kieli Swahili
Paino 254 g

Vertaa kirjan ”Kupaa Kama Tai” hintoja

Vertaa tuotteen hintaa ja arvioitua kokonaishintaa toimitettuna. Kaikki hinnat koskevat ISBN-tunnusta 9781951350345.

Hintoja ei päivitetty automaattisesti. Voit hakea ajantasaiset hinnat painamalla Hae hinnat.

0 kirjakauppaa
Kauppa

Booky

—
—
Ei saatavilla

Suomalainen

—
—
Ei saatavilla

Kansallinen Kirjakauppa

—
—
Ei saatavilla

Prisma

—
—
Ei saatavilla

Finlandia Kirja

—
—
Ei saatavilla

Fantasiapelit

—
—
Ei saatavilla

Vinhan kirjakauppa

—
—
Ei saatavilla

CDON

—
—
Ei saatavilla

Kustantamo S&S

—
—
Ei saatavilla

Kennys.ie

—
—
Ei saatavilla

Kristillinenkirjakauppa.fi

—
—
Ei saatavilla

Sacrum

—
—
Ei saatavilla

Adlibris

—
—
Ei saatavilla

BookOutlet.fi

—
—
Ei saatavilla

Kirja.fi

—
—
Ei saatavilla

Rosebud

—
—
Ei saatavilla

Tälle kirjalle ei ole tällä hetkellä vahvistettua hintaa. Tarkista tilanne myöhemmin uudelleen.

Hintoja ei ole vielä päivitetty.

Saat sähköpostin, kun hinta laskee asettamaasi rajaan tai sen alle.

€
Sisällytä toimituskulut hintaan

Kupaa Kama Tai – hintahistoria

Seuraamme kirjan Kupaa Kama Tai hintakehitystä kirjakaupoissa. Taulukosta näet viime kuukausien alimmat hinnat.

Alin hinta kauppoittain

Kunkin kaupan alin hinta viimeisten 90 päivän aikana.

Hintahistoriaa ei ole vielä kerätty tälle kirjalle.

Hinnat ilman toimituskuluja.