Peponi – hinnat ja saatavuus, hinta alk. 28,10 €
Kirjafiili on kirjojen hintavertailu. Löydä halvin hinta 27 kirjakaupasta. Hintavertailu koskee ISBN-tunnusta 9789987449866 (pokkari).
Kirjan kuvaus
Swahili translation of the Nobel-prize winning author's 1994 novel Paradise.Mzaliwa wa Afrika ya Mashariki, Yusuf anaondoka kwao kwa ghafla akiwa na umri wa miaka kumi na mbili. Haimjii hata kwa sekunde moja, kwamba atakuwa mbali na… Näytä koko kuvaus Piilota kuvaus
Swahili translation of the Nobel-prize winning author's 1994 novel Paradise.Mzaliwa wa Afrika ya Mashariki, Yusuf anaondoka kwao kwa ghafla akiwa na umri wa miaka kumi na mbili. Haimjii hata kwa sekunde moja, kwamba atakuwa mbali na wazazi wake kwa muda mrefu, na wala hafikirii kuuliza atarudi lini au kwa nini safari iliandaliwa kwa ghafla kiasi kile. Yusuf anaamini kuwa anamsindikiza Ami Aziz lakini ukweli ni kwamba 'ami' yake ni Mfanyabiashara, tena tajiri mkubwa, na Yusuf amewekwa rehani ili kulipia madeni ya baba yake. Yusuf anajikuta anasafiri katika miji na vitongoji vingi vingine ambako anakutana na watu wa kila namna. Anabalehe na kukua kwenye dunia inayobadilika kwa kasi kutokana na kuingia kwa ukoloni na udhalimu wake na jamii kuharibika kwa kuvurugwa kwa utamaduni wake. Hii ni tafsiri ya kwanza kwa riwaya za Abdulrazak Gurnah katika lugha ya Kiafrika. Abdulrazak Gurnah ni mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi ya mwaka 2021. Ameandika riwaya kumi ikiwemo hii ya paradise. Gurnah ni Profesa wa Masomo ya Kiingereza na Fasihi za Kikoloni katika Chuo Kikuu cha Kent. Dkt. Ida Hadjivayanis ni Mhadhiri Mwandamizi wa Masomo ya Kiswahili SOAS, Chuo kikuu cha London. Ametafsiri riwaya kadhaa kwa Kiswahili na Kiingereza.
Kirjan tiedot
Vertaa kirjan ”Peponi” hintoja
Vertaa tuotteen hintaa ja arvioitua kokonaishintaa toimitettuna. Kaikki hinnat koskevat ISBN-tunnusta 9789987449866.
Hintoja ei päivitetty automaattisesti. Voit hakea ajantasaiset hinnat painamalla Hae hinnat.
Booky
Suomalainen
Kansallinen Kirjakauppa
Prisma
Finlandia Kirja
Fantasiapelit
Vinhan kirjakauppa
CDON
Kustantamo S&S
Kennys.ie
Kristillinenkirjakauppa.fi
Sacrum
BookOutlet.fi
Kirja.fi
Rosebud
Vertailussa on yhden kirjakaupan hintatieto. Arvioitu kokonaishinta toimitettuna on 32,00 €.
Hinnat päivitetty 4 tuntia sitten
Hälytys tallennettu!
Ilmoitamme, kun hinta laskee.
Saat sähköpostin, kun hinta laskee asettamaasi rajaan tai sen alle.
Peponi – hintahistoria
Seuraamme kirjan Peponi hintakehitystä kirjakaupoissa. Taulukosta näet viime kuukausien alimmat hinnat.
Hintakehitys
Alin tuotteen hinta ilman toimituskuluja viimeisen 35 viikon aikana
Alin hinta kauppoittain
Kunkin kaupan alin hinta viimeisten 90 päivän aikana.
| Kauppa | Halvin hinta | Päivä |
|---|---|---|
| Adlibris |
28,10 €
Sama hinta
|
01.11.2026 |
Hinnat ilman toimituskuluja.